Wed, 18 Jun 2025 | 04:21 PM
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Juma S. Mkomi ametembelea banda la Chuo tarehe 18.6.2025 lililopo katika viwanja vya Maonesho vya Chinangali jijini Dodoma.
Akiwa katika banda la Chuo Mhe. Mkomi amekipongeza Chuo kwa kuanzisha mafunzo ya kimkakati nchini ikiwemo mafunzo ya urubani.
Wiki ya Utumishi wa Umma huadhimishwa kila mwaka kwa lengo la kutambua mchango wa watumishi wa umma katika maendeleo ya jamii.
Maadhimisho hayo yataendelea hadi tarehe 23 Juni, 2025 yakihusisha utoaji wa elimu na huduma mbalimbali.
Oct. 15, 2026, 10:05 a.m.
NIT continues to receive applications for its Master’s Degree programmes.
Master of Logistics and Transport Management
Master's in Shipping and Port Logistics Management
Masters in Procurement, Logistics and Supply Chain Management
Master of Mechanical Engineering with Transportation Machinery
Application link: https://oas.nit.ac.tz