Fri, 01 May 2026 | 09:38 AM
Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kinashiriki katika maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi kwa mwaka 2026, yenye kaulimbiu:
“๐๐๐ณ๐ข๐ง๐ ๐ข๐ซ๐ ๐๐จ๐ซ๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ข๐ฌ๐๐ข๐ค๐จ๐ฅ๐จ๐ฃ๐ข๐ ๐ง๐ข ๐ง๐ฃ๐ข๐ ๐ฒ๐ ๐ค๐ฎ๐ข๐ฆ๐๐ซ๐ข๐ฌ๐ก๐ ๐ฎ๐ฌ๐ญ๐๐ฐ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฐ๐๐๐๐ง๐ฒ๐๐ค๐๐ณ๐ข ๐ง๐ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐๐ง๐ ๐ ๐ญ๐๐๐ฌ๐ข๐ฌ๐ข ๐ข๐ฆ๐๐ซ๐.”
Katika maadhimisho haya, chuo kinaonesha shughuli mbalimbali zinazotekelezwa, pamoja na kushiriki katika kutoa mafunzo kwa madereva wa boda boda mkoani Njombe.
Maadhimisho haya ya siku sita yalianza tarehe 24 Aprili 2026 katika viwanja vya Shule ya Msingi Mjimwema, mkoani Njombe, na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 29 Aprili 2026.
Oct. 15, 2026, 10:05 a.m.
NIT continues to receive applications for its Master’s Degree programmes.
Master of Logistics and Transport Management
Master's in Shipping and Port Logistics Management
Masters in Procurement, Logistics and Supply Chain Management
Master of Mechanical Engineering with Transportation Machinery
Application link: https://oas.nit.ac.tz