Posted March 3, 2024 | by root |in Recent News MAONESHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kimeshiriki kikamilifu katika maonesho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kuanzia tarehe 8 hadi 19 Januari 2024 katika viwanja vya Fumba, Zanzibar. More 83 0 0